VOCATIONAL TRAINING COURSES
SHORT COURSES (KOZI ZA MUDA MFUPI )
1. Computer application
2. ENGLISH COURSE
3. ARABIC LANGUAGE
SIFA ZA KUJIUNGA
Ni mtu yeyote anayependa kujifunza Arabic,English na kutumia computer anapokelewa.
VTA LONG COURSES (ZA MUDA MREFU)
3. Information and Communication Technology (ICT )
4. Business operating Assistance ( BOA)
5. Secretary (awe na angalau D mbili za form4)
6. Clearing and forwarding
Sifa kujiunga BOA ,clearing and forwading and ICT kwa level 3
· Awe na kuanzia andalau D mbili za form4
· Awe amehihitimu level 2
Sifa kujiunga BOA ,clearing and forwading and ICT kwa level 1 na 2
· Awe amemaliza form 2 au darasa la 7 au amefeli fomr4
· Hii ni ngazi ya kumandaa mwanafaunzi ili apate sifa za kuanza cheti NTA LEVEL 4.
NACTVET
COMMUNITY DEVELOPMENT
SIFA ZA KUJIUNGA
¨ Cheti cha kumalizia msomo kidato cha sita (Form VI) chenye ngalau S Mbili
¨ Cheti cha kumalizia masomo NTA Level 4 kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali au NACTE.
¨ Cheti cha kidato cha nne chenye ufaulu wa kuanzia D nne.
PROCUREMENT &SUPPLY,LAW & BUSINESS ADMINISTRATION CERT AND DIPLOMA
SIFA
· Kwa cert ni Kuanzia d NNE za form four ispokua ya dini.
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI (WEMA)
CERTIFACTE IN EARLY CHILDHOOD EDUCATION
Sifa
· Awe na D nne za kumalizia masomo kidato cha nne form four (FIV)
Diploma in primary Education
· Awe na C mbili na D tatu za kumalizia masomo kidato cha nne form four na kuendelea. (FIV)
ZANZIBAR ,
WETE,
PEMBA,
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NAMBA 0776206342 AU 0757424381